Mshambuliaji wa Kibrazil, Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 44 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Stoke City Uwanja wa Anfield leo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Goals: Adam Lallana dakika ya 34, Giannelli Imbula aliyejifunga dakika ya 59 na Daniel Sturridge dakika ya 70, wakati bao la Stoke City limefungwa na Jon Walters dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment