Kelechi Iheanacho akimchambua kipa wa Hull City kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 78 katika ushindi wa 3-0 leo Uwanja wa KCOM. Mabao mengine ya City yamefungea na Yaya Toure kwa penalti dakika ya 72 na Curtis Davies aliyejifunga dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Justice secretary faces no confidence vote in grooming gangs row
-
Opposition parties have accused Angela Constance of misrepresenting the
position of a leading expert on grooming gangs.
32 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment