Bondia Lolenga Mock (kushoto) kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akizipia na Joseph Marwa wa Tanzania katika pambano la kuwania ubingwa wa Kanda ya Tano Afrika uzito wa Middle ukumbi wa Friends Corner, Manzese, Dar es Salaam Agosti 9 mwaka 1998 lililoandaliwa na Profesa Maji Marefu. Marwa alishinda kwa pointi za majaji wote, ingawa ushindi huo ulilalamikwa na mashabiki na mpinzani wake kwamba ulikuwa wa upendeleo
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment