Paul Pogba akiwaongoza wachezaji wenzake wa Manchester United kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 86 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Middlesbrough kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Bao lingine la United lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 85 kufuatia Grant Leadbitter kuwafungia wageni bao la kuongoza dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment