Adam Lallana akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 20 na 69 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Middlesbrough usiku wa Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Riverside. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Divock Origi dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
-



.png)
0 comments:
Post a Comment