Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic (kushoto) akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za tano na 56 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion usiku huu Uwanja wa The Hawthorns kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Anayemkimbilia kulia ni Jesse Lingard PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment