Kiungo Cesc Fabregas akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Chelsea dakika ya 40 ikiilaza 1-0 Sunderland Uwanja wa Light usiku wa Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu ya England kuzidi kupaa kileleni ikifikisha pointi 40 baada ya mechi 16, sita zaidi ya Liverpool na Arsenal zinazofuatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Humphries into Grand Prix semis as Van Veen exits
-
Luke Humphries breezes into the semi-finals of the World Grand Prix with a
comfortable 3-0 victory over Niels Zonneveld.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment