• HABARI MPYA

    Sunday, December 11, 2016

    YANGA NA JKU KATIKA PICHA JANA UHURU

    Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' kushoto akipambana na wachezaji wa JKU ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. JKU ilishinda 2-0
    Beki wa Yanga, Hassan Kessy (kushoto) akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa JKU
    Winga wa Yanga, Obrey Chirwa akimzuia mchezaji wa JKU katika harakati za kuwania mpira
    Mshambuliaji Matheo Anthony (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa JKU 
    Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimtoka mchezaji wa JKU
    Benchi la Ufundi la Yanga jana
    Kikosi cha kwanza kilichoanza jana
    Kipindi cha pili wakainuliwa hawa wote kuingia kasoro Kevin Yondan (kushoto)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA JKU KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top