• HABARI MPYA

  Sunday, December 11, 2016

  CHINA KUJENGA VIWANJA VYA MICHEZO CHALINZE

  Mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia) amuelekeza baba yake na Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete juu ya eneo ambalo limepangwa kujengwa viwanja vya michezo kwa msaada wa serikali ya China. Wengine pichani ni Balozi wa China nchini Tanzania, Dk Lu Yong na Mhandisi Yang.
   Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwapa maelekezo wageni wake jana
  Wananchi na viongozi waliojitokeza kumpokea Rais Mstaafu alipokuwa akiingia kwenye viwanja vya mwenge Msoga
  Ukaguzi wa eneo la viwanja ukiendelea. Wa kwanza kushoto kwa Mbunge Ridhiwani ni Diwani wa kata ya Msoga na Afisa Tarafa
  Mbunge Ridhiwani akitoa shukrani kwa Serikali ya China kwa msaada huo
  Mbunge akizungumza na Balozi Dk. Yong juu ya mipango ya maendeleo ya michezo katika Halmashauri ya Chalinze
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHINA KUJENGA VIWANJA VYA MICHEZO CHALINZE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top