Nyota wa FC Barcelona, Lionel Messi (kulia) na mchezaji mwenzake, Luis Suarez baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona. Suarez alifunga mawili dakika za 18 na 67, wakati Messi alifunga moja dakika ya 90 huku la tatu likifungwa na Jordi Alba dakika ya 68 na la Espanyol lilifungwa na David Lopez dakika ya 79
Storm Harry hits Malta with strong winds and high waves
-
Malta was hit by strong winds and high waves as Storm Harry battered its
islands.View on euronews
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment