• HABARI MPYA

  Monday, December 19, 2016

  MAN CITY WATOKA NYUMA NA KUIPIGA 2-1 ARSENAL

  Wachezaji wa Manchester City, Fernando (kushoto) na Pablo Zabaleta (kulia), wakimdhibiti Mesut Ozil wa Arsenal (katikati) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad, Manchester, England. Man City ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Leroy Sane dakika ya 47 na Raheem Sterling dakika ya 71, baada ya Theo Walcott kutangulia kuifungia Arsenal dakika ya tano  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY WATOKA NYUMA NA KUIPIGA 2-1 ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top