• HABARI MPYA

    Sunday, December 04, 2016

    SHUGHULI LA SAMATTA KATIKA KOMBE LA UBELGIJI WIKI HII

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akimtoka beki wa Waasland-Beveren usiku wa Jumatano wiki hii katika mchezo wa Kombe la Ubelgiji Uwanja wa Freethiel-Stadion mjini Beveren-Waas. Genk ilishinda 3-1 Samatta alifunga mabao mawili dakika za dakika za 15 na 43. Bao lingine la Genk lilifungwa na Onyinye Wilfred Ndidi dakika ya 80, wakati bao pekee la wenyeji lilifungwa na mshambuliaji chipukizi wa Ubelgiji, Zinho Gano. 
    Samatta akimfukuzia beki wa Waasland-Beveren
    Samatta akienda juu kupiga kichwa mbele ya beki wa Waasland-Beveren 
    Samatta akiifungia Genk kwenye mchezo huo Jumatano wiki hii 
    Samatta akipongezwa na wenzake baada ya kufunga 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHUGHULI LA SAMATTA KATIKA KOMBE LA UBELGIJI WIKI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top