• HABARI MPYA

  Monday, December 19, 2016

  SAMATTA ALIVYOIPIGANIA GENK JANA HADI KUPATA SARE UBELGIJI

  Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta (kulia) akijaribu kumpita beki wa Standard Liege, Milos Kosanovic katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji jana Uwanja wa Laminus Arena, Genk. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2 Samatta akiifungia bao la kusawazisha Genk dakika ya 77
   Samatta akimpita beki wa Liege, Isaac Mbenza (kuli)
  Samatta akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao dakika ya 77
  Ulimwengu (wa pili kulia) akipongezwa na mchezaji mwenzake baada ya bao muhimu
  Refa A. Boucaut akimzuia Samatta baada ya kusimamisha mchezo jana
  Samatta (katikati) akiwa na wachezaji wenzake katika hali ya masikitiko baada ya mchezo kumalizika wakilazimishwa sare ya nyumbani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOIPIGANIA GENK JANA HADI KUPATA SARE UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top