• HABARI MPYA

    Tuesday, December 06, 2016

    RAUNDI TA TATU KOMBE LA FA, MAN UNITED YAPEWA READING...WEST HAM NA MAN CITY

    MHOLANZI Jaap Stam atarejea Manchester United mwezi ujao baada ya klabu yake, Reading kupangwa kuwafuata Mashetani hao Wekundu Uwanja wa Old Trafford katika Raundi ya Tatu ya Kombe la FA, England.
    Stam alikuwa shujaa wa safu ya ulinzi katika miaka yake mitatu ya kuchezea United, mwaka 1999 ukiwa wa kukumbukwa zaidi baada ya kushinda mataji matatu kabla ya kuuzwa Lazio kufuatia kutofautiana na Sir Alex Ferguson aliyekuwa kocha wa timu hiyo wakati huo.
    Lakini baadaye, kocha Ferguson alikiri alifanya kosa kubwa kumuacha mchezaji huyo.
    Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho atamenyana na Reading ya kocha Jaap Stam PICHA ZAIDI GONGA HAPA  

    RATIBA KAMILI YA RAUNDI YA TATU KOMBE LA FA 

    Ipswich vs Lincoln
    Barrow vs Rochdale
    Manchester United vs Reading
    Hull vs Swansea
    Sunderland vs Burnley
    QPR vs Blackburn
    Millwall vs Bournemouth
    West Ham vs Manchester City 
    Brighton vs MK Dons or Charlton
    Blackpool vs Barnsley
    Wigan vs Nottingham Forest
    Birmingham vs Newcastle 
    Chelsea vs Peterborough or Notts County 
    Middlesbrough vs Sheffield Wednesday
    West Brom vs Derby
    Everton vs Leicester 
    Wycombe vs Northampton or Stourbridge
    Watford vs Burton Albion
    Preston vs Arsenal
    Cardiff vs Fulham
    Stoke vs Wolves
    Cambridge vs Leeds
    Bristol City vs Fleetwood or Shrewsbury
    Huddersfield vs Port Vale
    Tottenham vs Aston Villa 
    Brentford vs Halifax and Eastleigh
    Bolton vs Crystal Palace 
    Norwich vs Southampton
    Sutton United vs Wimbledon
    Accrington Stanley vs Luton
    Rotherham vs Oxford or Macclesfield

    Liverpool vs Newport or Plymouth


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAUNDI TA TATU KOMBE LA FA, MAN UNITED YAPEWA READING...WEST HAM NA MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top