Nyota wa Brazil, Neymar akimsaidia jezi ya Barcelona shabiki aliyevamia uwanjani wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi wenyeji Austria mjini Vienna. Brazil ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Roberto Firmino na David Luizon, wakati bao la wenyeji lilifungwa na Aleksandar Dragovic.



.png)
0 comments:
Post a Comment