• HABARI MPYA

    Sunday, November 30, 2014

    RONALDO 'ORIJINO' ALIPOKUTANA NA ZLATAN IBRAHIMOVIC JANA PARIS


    Former Brazilian international Ronaldo with PSG talisman Zlatan Ibrahimovic after the game against Nice
    Mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Brazil, Ronaldo Lima akiwa nyota wa PSG, Zlatan Ibrahimovic baada ya mechi dhidi ya Nice usiku wa jana mjini Paris, Ufaransa, Ibra alifunga bao pekee kwa penalti PSG ikishinda 1-0 na baada ya hapo akakutana na Mwanasoka huyo bora wa zamani wa dunia. Akiwa Inter Milan, Zlatan alicheza dhidi ya Ronaldo aliyekuwa AC Milan mwaka 2007 katika Serie A. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO 'ORIJINO' ALIPOKUTANA NA ZLATAN IBRAHIMOVIC JANA PARIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top