• HABARI MPYA

    Sunday, November 23, 2014

    BALOTELLI AENDA KUJIRUSHA KWENYE NDONDI 'USIKU MNENE' JANA WAKATI LEO MCHANA LIVERPOOL INACHEZA LIGI

    Balotelli sat and watched the boxing from a ringside seat at the Echo Arena
    Mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli kulia akitazama ndondi kutoka pembezoni mwa ulingno ukumbi wa  Echo Arena mjini Liverpool, usiku wa jana kuamkia mechi ya timu yake na Crystal Palace mchana wa leo 
    Balotelli returned home early from international duty, and may not be fit to face Crystal Palace 
    Balotelli aliwashangaza wengi kwa kuwa kwake ndondi 'usiku mnene' badala ya kupumzika kujiandaa na mechi na Crystal Palace

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2845728/Mario-Balotelli-spotted-Cleverly-vs-Bellew-Liverpool-Reds-face-Crystal-Palace-London-tomorrow-lunchtime-doing-there.html#ixzz3Jrp3ORph 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALOTELLI AENDA KUJIRUSHA KWENYE NDONDI 'USIKU MNENE' JANA WAKATI LEO MCHANA LIVERPOOL INACHEZA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top