KIPA WA SIMBA SC APATA ULAJI OMAN, AWA BOSI WA KIPA WA YANGA SC
Kipa wa zamani wa Simba SC, Spear Mbwembwe (kulia) akiwa na kipa wa zamani wa Yanga SC, Juma Mpongo mjini Muscat, Oman jana. Mbwembwe ametua jana kwa ajili ya kuwa kocha wa makipa wa klabu ya Seeb ya Ligi Kuu ya nchini humo. Mpongo amekuwa kipa wa timu hiyo tangu mwanzoni mwa msimu huu na sasa bosi wake atakuwa Mtanzania mwenzake.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment