• HABARI MPYA

    Tuesday, November 18, 2014

    PIGO BAYERN MUNICH, PHILIPP LAHM NJE MIEZI MITATU BAADA YA KUVUNJIKA KIFUNDO

    NAHODHA wa Bayern Munich, Philipp Lahm atafanyiwa upasuaji baada ya kuvunjika kifundo chake cha mguu wa kulia leo na anatarajiwa kuwa nje kwa  miezi mitatu.
    Nahodha huyo wa Bayern, ambaye alistaafu soka ya kimataifa baada ya Kombe la Dunia Julai mwaka huu, aliumia katika mazoezi ya asubuhi na akalazimika kutolewa nje kwa machela.
    "Lahm amevunjika kifundo chake mguu wa kulia na atahitaji kwenda kufanyiwa upasuaji mapema," imesema Bayern katika taarifa yake. "Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 atakuwa nje kwa miezi miwili na nusu hadi mitatu,".
    Bayern Munich captain Philipp Lahm will have surgery after breaking his right ankle
    Nahodha wa Bayern Munich, Philipp Lahm atafanyiwa upasuaji wa kifundo cha mguu wake wa kulia 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PIGO BAYERN MUNICH, PHILIPP LAHM NJE MIEZI MITATU BAADA YA KUVUNJIKA KIFUNDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top