![]() |
| Poppe akimwaga mchanga katika kaburi la mama yake |
![]() |
| Mapadre wa kanisa la Bikira Maria Consolata, liliopo eneo la Mshindo, Iringa wakiongoza ibada ya kuuombea mwili wa marehemu katika kanisa hilo leo |
![]() |
| Majjid Mjengwa kulia na rafiki yake, Fesal wa Asas Milk walikuwepo kwenye mazishi |
![]() |
| Jeneza likiwasili makaburini |
![]() |
| Watoto, wajukuu na vitukuu vya marehemu pamoja na ndugu na jamaa katika pcha ya pamoja mbele ya kaburi |
![]() |
| Mwakilishi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayoub Nyenzi akiuuaga mwili wa marehemu nyumbani kwake leo, eneo la Mkimbizi, Iringa leo |
![]() |
| Mtoto pekee wa kike wa marehemu, Sofie akiuweka sawa mwili wa marehemu mama yake kabla ya watu kuanza kuuaga leo nyumbani kwao |










.png)
0 comments:
Post a Comment