Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 45 kabla ya Anthony Martial kufunga la pili dakika ya 78 katika ushindi wa 2-0 dhdi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Selhurst Park Jijini London. Kwa ushindi huo, Man United wanafikisha pointi 62, ingawa wanabaki nafasi ya tano wakizidiwa wastani wa mabao tu na Leicester City inayoshika nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment