Lionel Messi (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 34 na 75 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Deportivo Alaves usiku wa Jumapili kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Mendizorroza. Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Ansu Fati dakika ya 24, Luis Suarez dakika ya 44 na Nelson Semedo dakika ya 57 na kwa ushindi huo, Barca inafikisha pointi baada ya kucheza mechi 38 na kuendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya mabingwa tayari, Real Madrid wenye pointi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Russia is a threat to the UK and our sons and daughters must be ready to
fight, armed forces chief warns
-
Chief of defence staff Richard Knighton warned the situation is ‘more
dangerous than I have known during my career’
35 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment