Kinda wa England, Mason Mount akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Chelsea kabla ya Olivier Giroud kufunga la pili, yote katika dakika za nyongeza kipindi cha kwanza The Blues wakiichapa 2-0 Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijin London. Chelsea inafikisha pointi 66 na kumaliza nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu, ikizidiwa wastani wa mabao tu na Manchester Cty iliyomaliza nafasi ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment