Wachezaji wa Manchester City wakipongezana baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Liverpool, mabao ya Kevin de Bruyne kwa penalti dakika ya 25, Raheem Sterling dakika ya 35, Phil Foden dakika ya 45 na Alex Oxlade-Chamberlain aliyejifunga dakika ya 66 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamsi Uwanja wa Etihad. Man City wanafikisha pointi 66 baada ya ushindi huo, sasa wakizidiwa pointi 20 na mabingwa wapya wa England, Liverpool wenye pointi 86 baada ya wote kucheza mechi 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment