Wachezaji wa Bayern Munich wakimpongeza Robert Lewandowski baada ya kufunga bao la pili dakika ya 74 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Eintracht Frankfurt kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ujerumani, maarufu kama DFB Pokal usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Ivan Perisic dakika ya 14, wakati la Eintracht Frankfurt lilifungwa na Danny da Costa dakika ya 69 na sasa Bavarian watakutana na Bayer Leverkusen katika fainali mwezi ujao Berlin PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment