Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka beki wa Sevilla, Diego Carlos katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Kwa matokeo hayo, Barca inafikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 30, ikiizidi pointi tatu Real Madrid ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment