Ivan Rakitic akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 71 akimalizia pasi ya Lionel Messi katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp. Ushindi huo unairejesha Barcelona kileleni ikifikisha pointi 68 baada ya kucheza mechi 31 sasa ikiizidi Real Madrid pointi tatu, ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment