Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere akiudhibti mpira dhidi ya beki, Kennedy Wilson kwenye mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, mabingwa hao watetezi wakijiandaa kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania waliouanza vyema na wanaelekea kutwaa taji la tatu mfululizo
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment