Leon Goretzka akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Bayern Munich dakika ya 86 ikiilaza Borussia Monchengladbach 2-1 katika mchezo wa Bundesliga usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena. Bao la kwanza la Bayern Munich limefungwa na Joshua Kirkzee dakika ya 26, kabla ya Benjamin Pavard kujifunga dakika ya 37 akijarbu kuokoa krosi ya Patrick Herrmann na kwa ushindi huo Bavarian wanafikisha pointi 73 baada ya kucheza mechi 31 na sasa wanahitaji ushindi mmoja zaidi kutwaa taji la nane mfululizo la Bundesliga
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment