Vinicius Junior akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 71 kabla ya Mariano Diaz kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid kwenye mchezo wa La Liga. Kwa ushindi huo, Real Madrid inarejea kileleni La Liga sasa ikiizidi pointi moja Bacelona (56-55) baada ya wote kucheza mechi 26 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment