Real Madrid imepoteza nafasi ya kurudi kileleni katika La Liga baada ya kuchapwa 2-1 Real Betis usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarin, Sevilla. Mabao ya Real Betis yalifungwa na Sidnei Rechel da Silva Junior dakika ya 40 na Cristian Tello dakika ya 82, wakati bao pekee la Real Madrid limefungwa na Karim Benzema dakika ya 45 na ushei kwa penalti. Sasa Real Madrid inazidiwa pointi mbili na Barcelona (58-56) katika msimamo wa La Liga PICHA ZADI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment