Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 53 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sheffield Wednesday katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Hillsborough, Sheffield hivyo kutinga Robo Fainali ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment