Willian akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Chelsea dakika ya 51 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijin London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Mason Mount dakika ya 14, Pedro dakika ya 21 na Olivier Giroud dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment