Ross Barkley akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 64 kufuatia Willian kufunga la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Raundi ya Tano ya Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London hivyo kutinga Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment