Eddie Nketiah akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 51, kufuati Sokratis Papastathopoulos kufunga la kwanza dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Portsmouth kwenye mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Fratton Park PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment