Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 81 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Sociedad usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou, hivyo kurejea kileleni ikifikisha pointi 58 katika mchezo wa 27, sasa ikiizidi pointi mbili Real Madrid ambayo leo tamemyana na Real Betis kuanzia Saa 5:00 usiku PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment