Marco Reus wa Borussia Dortmund akipiga penalti ambayo iliokolewa na kipa wa Barcelona, Marc-Andre ter Stegen dakika ya 57 baada ya Jadon Sancho kuchezewa rafu na Nelson Semedo kwenye boksi timu hizo zikitoka sare ya 0-0 katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment