Pierre-Emerick Aubameyang (kushoto) akishangilia na Bukayo Saka baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 wa Arsenal dhidi ya wenyeji, Eintracht Frankfurt kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt. Saka alifunga bao la pili dakika ya 85 na Aubameyang la tatu dakika ya 87 baada ya Joe Willock kufunga la kwanza dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment