KINDA wa miaka 17, Mason Greenwood akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao pekee dakika ya 73 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Astana kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford hilo likiwa bao lake la kwanza kabisa timu ya wakubwa kufuatia kupandishwa kutoka akasemi ya klabu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment