Kipa Hugo Lloris wa Tottenham Hotspur akijaribu bila mafanikio kuokoa mpira uliopigwa na Donny van de Beek kuipatia bao pekee la ushindi Ajax dakika ya 15 ikiwalaza wenyeji 1-0 katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Timu hizo zitarudiana Mei 8 na mshindi wa jumla atakuwa atakutana na mshindi wa jumla baina ya Barcelona na Liverpool kwenye fainali Juni 1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment