Nahodha Manuel Neuer akiwa ameinua Kombe la Ujerumani na wachezaji wenzake wa Bayern Munich baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya RB Leipzig, mabao ya Robert Lewandowski dakika ya 29 na 85 na Kingsley Coman dakika ya 78 katika mchezo wa fainali usiku wa jana Uwanja wa Olympia mjini Berlin PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment