Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany akiwa ameinua Kombe la FA baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya Watford leo mabao ya Raheem Sterling matatu dakika za 38, 81 na 87, David Silva dakika ya 26, Kevin De Bruyne dakika ya 61 na Gabriel Jesus dakika ya 68 kwenye mchezo wa fainali Uwanja wa Wembley mjini London hilo likiwa taji la tatu msimu huu baada ya ubingwa wa Ligi Kuu England na Kombe la Ligi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment