Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akisikitika baada ya kufungwa bao la pili na Valencia katika fainali ya Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Valencia walishinda 2-1, mabao yao yakifungwa na Kevin Gameiro dakika ya 21 na Rodrigo dakika ya 33 kabla ya Messi kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment