Wachezaji wa Ajax wakishangilia ushindi wao wa ubingwa wa Ligi ya Uholanzi baada ya kuichapa mabao 4-1 De Graafschap usiku wa jana Uwanja wa De Vijverberg mjini Doetinchem, hilo likiwa taji lao la kwanza la Eredivisie tangu 2014 hayo yakiwa matunda ya kizazi kipya cha dhahabu cha timu hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Police investigate cricket star over allegations of sexual touching
-
NSW fast bowler Ross Pawson has been stood down by Cricket NSW after police
launched an investigation into allegations of sexual touching.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment