Nahodha wa Valencia, Dani Parejo akiinua Kombe la Mfalme baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona usiku wa jana katika mchezo wa fainali Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Mabao ya Valencia yalifungwa na Kevin Gameiro dakika ya 21 na Rodrigo dakika ya 33 kabla ya Lionel Messi kuifungia Barcelona bao lake pekee dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment