Pedro akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao muhimu la ugenini la kusawazisha dakika ya 45 kufuatia Luka Jovic kuifungia la kuongoza Eintracht Frankfurt dakika ya 23 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt. Timu hizo zitarudiana Mei 9, Chelsea ikihitaji ushindi au sare ya 0-0 kwenda fainali ambako itakutana na mshindi kati ya Arsenal na Valencia Mei 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment