Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 31 na 32 katika sare ta 2-2 na Eibar kwenye mchezo wa mwisho wa La Liga jana Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar, hivyo kufikisha mabao 50 msimu huu kwa mara sita, klabu yake ikiibuka bingwa kwa mara nyingine tena PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment