Refa Mike Dean akimuonyesha kadi nyekundu winga wa Manchester United, Ashley Young baada ya kumchezea rafu Diogo Jota wa Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands. Mabao ya Wolverhampton yalifungwa na Diogo Jota dakika ya 25 na Chris Smalling aliyejifunga dakika ya 77, wakati la Man United lilifungwa na Scott McTominay dakika ya 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment