Leroy Sane akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 44 kufuatia Kevin De Bruyne kufunga la kwanza dakika ya sita ikiilaza 2-0 Cardiff City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Kwa ushindi huo, Manchester City inafikisha pointi 80 baada ya kucheza mechi 32 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England ikiizidi kwa pointi moja Liverpool inayofuatia katika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment