ABEID MZIBA ‘TEKERO’ NA LAWRENCE MWALUSAKO ENZI ZAO YANGA SC
WACHEZAJI wa Yanga SC, Abeid Mziba (kushoto) na Lawrence Mwalusako (kulia) kabla ya moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1987 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), msimu ambao walifanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu)
0 comments:
Post a Comment